2 Chronicles 8:15 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nao hawakuyaacha maagizo mfalme aliyowaamuru makuhani na Walawi jambo lolote na kuhusu hazina.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nao hawakuziacha amri za mfalme alizoamuru makuhani au Walawi katika jambo lolote, ikiwa ni pamoja na zile za hazina.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wala hawakuyaacha maagizo ya mfalme aliyowaamuru makuhani na Walawi kwa neno lo lote, wala kwa habari ya hazina.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nao hawakuyaacha maagizo mfalme aliyowaamuru makuhani na Walawi jambo lolote na kuhusu hazina.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nao hawakuziacha amri za mfalme alizoamuru makuhani au Walawi katika jambo lo lote, ikiwa ni pamoja na zile za hazina.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nao hawakuziacha amri za mfalme alizoamuru makuhani au Walawi katika jambo lolote, ikiwa ni pamoja na zile za hazina.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wala hawakuyaacha maagizo ya mfalme aliyowaamuru makuhani na Walawi kwa neno lolote, wala kwa habari ya hazina.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nao hawakuyaacha maagizo mfalme aliyowaamuru makuhani na Walawi jambo lolote na kuhusu hazina.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hawakutangua agizo la mfalme, alilowaagiza la watambikaji na la Walawi kwa ajili ya mambo yote, hata kwa ajili ya vilimbiko.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wala hawakuyaacha maagizo ya mfalme aliyowaamuru makuhani na Walawi kwa neno lo lote, wala kwa habari ya hazina.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nao hawakuacha maagizo ya mufalme aliyowaamuru makuhani na Walawi kwa jambo lolote na juu ya hazina.