2 Chronicles 8:16 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi miradi yote ya Solomoni aliyofanya tangu jiwe la msingi wa nyumba ya Mwenyezi-Mungu lilipowekwa ilikamilika. Hivyo nyumba ya Mwenyezi-Mungu ilimalizika.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kazi yote ya Mfalme Sulemani ilifanyika kuanzia siku msingi wa Hekalu la Mwenyezi Mungu ulipowekwa hadi kukamilika kwake. Kwa hiyo Hekalu la Mwenyezi Mungu likamalizika kujengwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi ikatengenezwa kazi yote ya Sulemani hata siku ya kutiwa msingi wa nyumba ya Bwana, na hata ilipokwisha. Hivyo ikamalizika nyumba ya Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi miradi yote ya Solomoni aliyofanya tangu jiwe la msingi wa nyumba ya Mwenyezi-Mungu lilipowekwa ilikamilika. Hivyo nyumba ya Mwenyezi-Mungu ilimalizika.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kazi yote ya Mfalme Solomoni ilifanyika kuanzia siku msingi wa Hekalu la BWANA ulipowekwa mpaka kukamilika kwake. Kwa hiyo Hekalu la BWANA likamalizika kujengwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kazi yote ya Mfalme Sulemani ilifanyika kuanzia siku msingi wa Hekalu la bwana ulipowekwa mpaka kukamilika kwake. Kwa hiyo Hekalu la bwana likamalizika kujengwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi ikatengenezwa kazi yote ya Sulemani hata siku ya kutiwa msingi wa nyumba ya BWANA, na hata ilipokwisha. Hivyo ikamalizika nyumba ya BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi miradi yote ya Solomoni aliyofanya tangu jiwe la msingi wa nyumba ya Mwenyezi-Mungu lilipowekwa ilikamilika. Hivyo nyumba ya Mwenyezi-Mungu ilimalizika.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa hiyo kazi zote za Salomo zikaendelea vema tangu siku ile, misingi ya Nyumba ya Bwana ilipowekwa, hata siku hiyo, Nyumba yote nzima ya Bwana ilipomalizika.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi ikatengenezwa kazi yote ya Sulemani hata siku ya kutiwa msingi wa nyumba ya BWANA, na hata ilipokwisha. Hivyo ikamalizika nyumba ya BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi kazi zote Solomono alizokusudia kufanya zikamalizika. Yeye alitimiza kazi zile zote tangia jiwe la musingi wa nyumba ya Yawe lilipowekwa mpaka ilipomalizika kujengwa. Hivi nyumba ya Yawe ikamalizika.