2 Chronicles 8:17 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha Solomoni alikwenda Esion-geberi na Elothi iliyo pwani mwa bahari, katika nchi ya Edomu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo Sulemani akaenda Esion-Geberi na Elathi katika pwani ya Edomu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo Sulemani akaenda Esion-geberi, na Elothi, pwani ya nchi ya Edomu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha Solomoni alikwenda Esion-geberi na Elothi iliyo pwani mwa bahari, katika nchi ya Edomu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo Solomoni akaenda Esion-Geberi na Elathi katika pwani ya Edomu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo Sulemani akaenda Esion-Geberi na Elathi katika pwani ya Edomu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndipo Sulemani akaenda Esion-geberi, na Elothi, pwani ya nchi ya Edomu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha Solomoni alikwenda Esion-geberi na Elothi iliyo pwani mwa bahari, katika nchi ya Edomu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha Salomo akaenda Esioni-Geberi na Eloti huko pwani kwenye bahari iliyoko katika nchi ya Edomu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo Sulemani akaenda Esion-geberi, na Elothi, pwani ya nchi ya Edomu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha Solomono akakwenda Ezioni-Geberi na Eloti kwa vivuko vya bahari, katika inchi ya Edomu.