2 Chronicles 8:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Solomoni aliijenga upya miji aliyopewa na Huramu, halafu akawapa Waisraeli miji hiyo waishi humo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sulemani akajenga tena vijiji vile ambavyo Hiramu alikuwa amempa, naye akawapa Waisraeli waishi humo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
ndipo Sulemani akaijenga miji ile Hiramu aliyompa Sulemani, akawakalisha humo wana wa Israeli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Solomoni aliijenga upya miji aliyopewa na Huramu, halafu akawapa Waisraeli miji hiyo waishi humo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Solomoni akajenga tena vijiji vile ambavyo Hiramu alikuwa amempa, naye akawapa Waisraeli waishi humo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sulemani akajenga tena vijiji vile ambavyo Hiramu alikuwa amempa, naye akawapa Waisraeli waishi humo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
ndipo Sulemani akaijenga miji ile Hiramu aliyompa Sulemani, akawapa makao humo wana wa Israeli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Solomoni aliijenga upya miji aliyopewa na Huramu, halafu akawapa Waisraeli miji hiyo waishi humo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
ndipo, Salomo alipoijenga ile miji, Huramu aliyompa Salomo, akakalisha humo wana wa Isiraeli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
ndipo Sulemani akaijenga miji ile Hiramu aliyompa Sulemani, akawakalisha humo wana wa Israeli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Solomono akajenga upya miji aliyopewa na Hiramu, halafu akawapa Waisraeli miji hiyo waishi mule.