2 Chronicles 8:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Baadaye Solomoni alielekea Hamath-zoba na kuuteka,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha Sulemani akaenda Hamath-Soba na kuuteka.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye Sulemani akaenda Hamath-zoba, akaushinda.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Baadaye Solomoni alielekea Hamath-zoba na kuuteka,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha Solomoni akaenda Hamath-Soba na kuuteka.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha Sulemani akaenda Hamath-Soba na kuuteka.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye Sulemani akaenda Hamath-zoba, akauteka.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Baadaye Solomoni alielekea Hamath-zoba na kuuteka,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha Salomo akaenda Hamati-Soba, akauchukua.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye Sulemani akaenda Hamath-zoba, akaushinda.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nyuma ya pale Solomono akaenda katika muji wa Hamati-Soba na kuuteka,