2 Chronicles 8:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
na kuujenga mji wa Tadmori nyikani. Aliijenga upya miji ya ghala iliyokuwa huko Hamathi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Pia akajenga mji wa Tadmori katika jangwa, na miji yote ya kuhifadhia vitu katika Hamathi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akaujenga Tadmori wa nyikani, na miji yote ya hazina, aliyoijenga katika Hamathi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
na kuujenga mji wa Tadmori nyikani. Aliijenga upya miji ya ghala iliyokuwa huko Hamathi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Pia akajenga mji wa Tadmori katika jangwa na miji yote ya kuhifadhia vitu katika Hamathi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Pia akajenga mji wa Tadmori katika jangwa na miji yote ya kuhifadhia vitu katika Hamathi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akaujenga Tadmori wa nyikani, na miji yote ya hazina, aliyoijenga katika Hamathi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
na kuujenga mji wa Tadmori nyikani. Aliijenga upya miji ya ghala iliyokuwa huko Hamathi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akajenga Tadimori ulioko nyikani, hata miji yote yenye vilimbiko, aliyoijenga kule Hamati.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akaujenga Tadmori wa nyikani, na miji yote ya hazina, aliyoijenga katika Hamathi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
na kuujenga muji wa Tadimori katika jangwa. Alijenga upya miji ya gala iliyokuwa kule Hamati.