2 Chronicles 8:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kadhalika, Solomoni alijenga miji ifuatayo: Beth-horoni wa juu, na Beth-horoni wa chini, miji yenye ngome, kuta, malango na makomeo,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akajenga tena Beth-Horoni ya Juu na Beth-Horoni ya Chini, miji yenye ngome, kuta, malango na makomeo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena akaujenga Beth-horoni wa juu, na Beth-horoni wa chini, miji yenye boma, yenye kuta, na malango, na makomeo;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kadhalika, Solomoni alijenga miji ifuatayo: Beth-horoni wa juu, na Beth-horoni wa chini, miji yenye ngome, kuta, malango na makomeo,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akajenga tena Beth-Horoni ya Juu na Beth-Horoni ya Chini miji yenye ngome, kuta, malango na makomeo,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akajenga tena Beth-Horoni ya Juu na Beth-Horoni ya Chini, miji yenye ngome, kuta, malango na makomeo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena akaujenga Beth-horoni wa juu, na Beth-horoni wa chini, miji yenye boma, yenye kuta, na malango, na makomeo;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kadhalika, Solomoni alijenga miji ifuatayo: Beth-horoni wa juu, na Beth-horoni wa chini, miji yenye ngome, kuta, malango na makomeo,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha akajenga Beti-Horoni wa juu na Beti-Horoni wa chini kuwa miji yenye maboma iliyokuwa na kuta na malango na makomeo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena akaujenga Beth-horoni wa juu, na Beth-horoni wa chini, miji yenye boma, yenye kuta, na malango, na makomeo;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Vilevile, Solomono akajenga miji hii: Beti-Horoni wa juu, na Beti-Horoni wa chini, miji yenye minara ya kufichamia, kuta, milango na vifungio,