2 Chronicles 8:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watu wengine wote waliobaki miongoni mwa Wahiti, Waamori, Waperizi, Wahivi na Wayebusi, yaani wote ambao hawakuwa Waisraeli,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Watu wote waliosalia kutoka kwa Wahiti, Waamori, Waperizi, Wahivi na Wayebusi (haya mataifa hayakuwa Waisraeli),
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi kwa habari ya watu wote waliosalia wa Wahiti, na wa Waamori, na wa Waperizi, na wa Wahivi, na wa Wayebusi, wasiokuwa wa Israeli;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watu wengine wote waliobaki miongoni mwa Wahiti, Waamori, Waperizi, Wahivi na Wayebusi, yaani wote ambao hawakuwa Waisraeli,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Watu wote waliosalia miongoni mwa Wahiti, Waamori, Waperizi, Wahivi na Wayebusi (haya mataifa hayakuwa Waisraeli),
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Watu wote waliosalia kutoka kwa Wahiti, Waamori, Waperizi, Wahivi na Wayebusi (haya mataifa hayakuwa Waisraeli),
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi kwa habari ya watu wote waliosalia wa Wahiti, na wa Waamori, na wa Waperizi, na wa Wahivi, na wa Wayebusi, wasiokuwa wa Israeli;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watu wengine wote waliobaki miongoni mwa Wahiti, Waamori, Waperizi, Wahivi na Wayebusi, yaani wote ambao hawakuwa Waisraeli,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Watu aliowatumia, ndio wote waliosalia na Wahiti na wa Waamori na wa Waperizi na wa Wahiwi na wa Wayebusi wasiokuwa wa Waisiraeli;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi kwa habari ya watu wote waliosalia wa Wahiti, na wa Waamori, na wa Waperizi, na wa Wahivi, na wa Wayebusi, wasiokuwa wa Israeli;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watu wengine wote waliobaki kati ya Wahiti, Waamori, Waperizi, Wahivi na Wayebusi, ni kusema wote ambao hawakukuwa Waisraeli,