2 Chronicles 8:9 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini kati ya watu wa Israeli, Solomoni hakumfanya mtu yeyote kuwa mtumwa kwa ajili ya kazi yake; wao walikuwa askari, makamanda wa maofisa wake, makamanda wa magari yake ya kukokotwa na wapandafarasi wake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini Sulemani hakuwafanya Waisraeli watumwa kwa ajili ya kazi yake; hao ndio walikuwa wapiganaji wake, majemadari wake, maafisa wake, majemadari wa magari yake ya vita, na wapanda farasi wake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wala katika wana wa Israeli Sulemani hakuwafanya watumwa kazini mwake; lakini hao walikuwa watu wa vita, na wakuu wa majemadari wake, na maakida wa magari yake na wa wapanda farasi wake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini kati ya watu wa Israeli, Solomoni hakumfanya mtu yeyote kuwa mtumwa kwa ajili ya kazi yake; wao walikuwa askari, makamanda wa maofisa wake, makamanda wa magari yake ya kukokotwa na wapandafarasi wake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini Solomoni hakuwafanya Waisraeli watumwa kwa ajili ya kazi yake, bali walikuwa wapiganaji, majemadari, maafisa wake, majemadari wa magari yake ya vita na waendesha magari ya vita.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini Sulemani hakuwafanya Waisraeli watumwa kwa ajili ya kazi yake, bali walikuwa wapiganaji, majemadari, maafisa wake, majemadari wa magari yake ya vita na waendesha magari ya vita.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wala katika wana wa Israeli Sulemani hakuwafanya watumwa kazini mwake; lakini hao walikuwa watu wa vita, na wakuu wa majemadari wake, na makamanda wa magari yake na wa wapanda farasi wake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini kati ya watu wa Israeli, Solomoni hakumfanya mtu yeyote kuwa mtumwa kwa ajili ya kazi yake; wao walikuwa askari, makamanda wa maofisa wake, makamanda wa magari yake ya kukokotwa na wapandafarasi wake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini wana wa Isiraeli Salomo hakuwataka kuwa watumwa wa kumfanyizia kazi, kwani hawa walikuwa wapiga vita na wakuu wa thelathini na wakuu wa magari yake na wapanda farasi wake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wala katika wana wa Israeli Sulemani hakuwafanya watumwa kazini mwake; lakini hao walikuwa watu wa vita, na wakuu wa majemadari wake, na maakida wa magari yake na wa wapanda farasi wake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini kati ya watu wa Israeli, Solomono hakumufanya mutu yeyote kuwa mutumwa; kwa ajili ya kazi yake: wao walikuwa waaskari, majemadari wa wakubwa wake, majemadari wa magari yake ya vita na waaskari wapanda-farasi wake.