2 Chronicles 9:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kadhalika, watumishi wa Huramu pamoja na watumishi wa Solomoni walioleta dhahabu kutoka Ofiri, walileta pia miti ya misandali na mawe ya thamani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
(Watumishi wa Hiramu na wa Sulemani wakaleta dhahabu kutoka Ofiri, tena wakaleta shehena kubwa ya miti ya msandali na vito vya thamani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena watumishi wa Hiramu, pamoja na watumishi wa Sulemani, walioleta dhahabu kutoka Ofiri, wakaleta miti ya msandali, na vito vya thamani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kadhalika, watumishi wa Huramu pamoja na watumishi wa Solomoni walioleta dhahabu kutoka Ofiri, walileta pia miti ya misandali na mawe ya thamani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
(Watumishi wa Hiramu na wa Solomoni wakaleta dhahabu kutoka Ofiri, tena wakaleta shehena kubwa ya miti ya msandali na mawe ya thamani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
(Watumishi wa Hiramu na wa Sulemani wakaleta dhahabu kutoka Ofiri, tena wakaleta shehena kubwa ya miti ya msandali na vito vya thamani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena watumishi wa Hiramu, pamoja na watumishi wa Sulemani, walioleta dhahabu kutoka Ofiri, wakaleta miti ya msandali, na vito vya thamani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kadhalika, watumishi wa Huramu pamoja na watumishi wa Solomoni walioleta dhahabu kutoka Ofiri, walileta pia miti ya misandali na mawe ya thamani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kweli nao watumishi wa Huramu na watumishi wa Salomo waliotoa dhahabu kule Ofiri wakaleta nayo miti ya uvumba na vito,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena watumishi wa Hiramu, pamoja na watumishi wa Sulemani, walioleta dhahabu kutoka Ofiri, wakaleta miti ya msandali, na vito vya thamani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Vilevile, watumishi wa Hiramu pamoja na watumishi wa Solomono walioleta zahabu kutoka Ofiri, walileta vilevile miti ya musandali na mawe ya bei kali.