2 Chronicles 9:13 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kila mwaka, Solomoni alipelekewa dhahabu kadiri ya kilo 23,000,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Uzito wa dhahabu ambayo Sulemani alipokea kwa mwaka ulikuwa talanta mia sita sitini na sita (666),
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi uzani wa dhahabu iliyomfikia Sulemani mwaka mmoja, ndio talanta mia sita sitini na sita za dhahabu;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kila mwaka, Solomoni alipelekewa dhahabu kadiri ya kilo 23,000,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Uzito wa dhahabu ambayo Solomoni alipokea kwa mwaka ulikuwa talanta 666,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Uzito wa dhahabu ambayo Sulemani alipokea kwa mwaka ulikuwa talanta 666,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi uzani wa dhahabu iliyomfikia Sulemani mwaka mmoja, ni talanta mia sita sitini na sita za dhahabu;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kila mwaka, Solomoni alipelekewa dhahabu kadiri ya kilo 23,000,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Uzito wa dhahabu, Salomo alizoletewa katika mwaka mmoja ulikuwa vipande vya dhahabu 666, ndio frasila 2000,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi uzani wa dhahabu iliyomfikia Sulemani mwaka mmoja, ndio talanta mia sita sitini na sita za dhahabu;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kila mwaka, Solomono alipelekewa zahabu kadiri ya kilo elfu makumi mbili na mbili,