2 Chronicles 9:14 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
mbali na dhahabu aliyopokea kutoka kwa wafanyabiashara na wachuuzi. Wafalme wote wa Arabia na wakuu wa mikoa ya Israeli pia walimletea Solomoni fedha na dhahabu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
mbali na mapato yaliyoletwa na wafanyabiashara na wachuuzi. Wafalme wote wa Arabuni na watawala wa nchi wakamletea Sulemani dhahabu na fedha.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
mbali na ile waliyoileta wachuuzi na wafanya biashara; tena wafalme wote wa Arabuni, na maliwali wa nchi wakamletea Sulemani dhahabu na fedha.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
mbali na dhahabu aliyopokea kutoka kwa wafanyabiashara na wachuuzi. Wafalme wote wa Arabia na wakuu wa mikoa ya Israeli pia walimletea Solomoni fedha na dhahabu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
mbali na mapato mengine kutoka kwa wafanyibiashara na wachuuzi. Wafalme wote wa Arabuni na watawala wa nchi wakamletea Solomoni dhahabu na fedha.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
mbali na mapato yaliyoletwa na wafanyabiashara na wachuuzi. Wafalme wote wa Arabuni na watawala wa nchi wakamletea Sulemani dhahabu na fedha.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
mbali na ile waliyoileta wachuuzi na wafanya biashara; tena wafalme wote wa Arabuni, na watawala wa nchi wakamletea Sulemani dhahabu na fedha.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
mbali na dhahabu aliyopokea kutoka kwa wafanyabiashara na wachuuzi. Wafalme wote wa Arabia na wakuu wa mikoa ya Israeli pia walimletea Solomoni fedha na dhahabu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
pasipo zile, watembeaji na wachuuzi walizomletea; nao wafalme wote wa nchi ya Waarabu na watawala nchi wakamletea Salomo dhahabu na fedha.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
mbali na ile waliyoileta wachuuzi na wafanya biashara; tena wafalme wote wa Arabuni, na maliwali wa nchi wakamletea Sulemani dhahabu na fedha.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
zaidi ya zahabu aliyopokea kutoka kwa wafanya biashara na wachuuzi, tena kutoka kwa wafalme wote wa Arabia na watawala wa inchi ya Israeli.