2 Chronicles 9:26 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Aliwatawala wafalme wote waliokuwako kuanzia mto Eufrate, hadi nchi ya Wafilisti na hadi mpakani na Misri.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sulemani akatawala juu ya wafalme wote kuanzia Mto hadi kwenye nchi ya Wafilisti na kuendelea hadi mpaka wa Misri.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akatawala juu ya wafalme wote toka Mto hata nchi ya Wafilisti, na hata mpaka wa Misri.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Aliwatawala wafalme wote waliokuwako kuanzia mto Eufrate, hadi nchi ya Wafilisti na hadi mpakani na Misri.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Solomoni akatawala juu ya wafalme wote kuanzia Mto Eufrati mpaka kwenye nchi ya Wafilisti na kuendelea hadi mpaka wa Misri.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sulemani akatawala juu ya wafalme wote kuanzia Mto Frati mpaka kwenye nchi ya Wafilisti na kuendelea hadi mpaka wa Misri.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akatawala juu ya wafalme wote toka Mto hadi nchi ya Wafilisti, na hadi mpaka wa Misri.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Aliwatawala wafalme wote waliokuwako kuanzia mto Eufrate, hadi nchi ya Wafilisti na hadi mpakani na Misri.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akawa akiwatawala wafalme wote toka lile jito mpaka nchi ya Wafilisti kuifikilia nayo nchi ya Misri.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akatawala juu ya wafalme wote toka Mto hata nchi ya Wafilisti, na hata mpaka wa Misri.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Aliwatawala wafalme wote waliokuwa kuanzia muto Furati, mpaka inchi ya Wafilistini na mpaka kwenye mupaka na Misri.