2 Chronicles 9:27 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi Solomoni alifanya fedha katika Yerusalemu kuwa kitu cha kawaida kama mawe katika Yerusalemu, na mbao za mierezi zilipatikana kwa wingi kama mikuyu iliyomo Shefela.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mfalme akafanya fedha kuwa kitu cha kawaida kama mawe huko Yerusalemu, mierezi akaifanya kuwa mingi kama mikuyu chini ya vilima.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mfalme akafanya fedha humo Yerusalemu kuwa kama mawe, na mierezi akaifanya kuwa kama mikuyu iliyomo Shefela, kwa kuwa mingi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi Solomoni alifanya fedha katika Yerusalemu kuwa kitu cha kawaida kama mawe katika Yerusalemu, na mbao za mierezi zilipatikana kwa wingi kama mikuyu iliyomo Shefela.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mfalme akafanya fedha kuwa kitu cha kawaida kama mawe huko Yerusalemu na mierezi kuwa mingi kama miti ya mikuyu iliyoko chini ya vilima.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mfalme akafanya fedha kuwa kitu cha kawaida kama mawe huko Yerusalemu, mierezi akaifanya kuwa mingi kama mikuyu vilimani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mfalme akafanya fedha humo Yerusalemu kuwa kama mawe, na mierezi akaifanya kuwa kama mikuyu iliyomo Shefela, kwa kuwa mingi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi Solomoni alifanya fedha katika Yerusalemu kuwa kitu cha kawaida kama mawe katika Yerusalemu, na mbao za mierezi zilipatikana kwa wingi kama mikuyu iliyomo Shefela.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mfalme akajipatia fedha kuwa nyingi mle Yerusalemu kama mawe, nayo miti ya miangati akajipatia kuwa mingi kama mitamba katika nchi ya tambarare.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mfalme akafanya fedha humo Yerusalemu kuwa kama mawe, na mierezi akaifanya kuwa kama mikuyu iliyomo Shefela, kwa kuwa mingi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi Solomono alifanya feza katika Yerusalema kuwa kitu cha kawaida kama mawe katika Yerusalema, na mbao za mierezi zilipatikana kwa wingi kama mikuyu inayokuwa Sefela.