2 Chronicles 9:29 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Matendo mengine ya Solomoni, kutoka mwanzo hadi mwisho, yameandikwa katika kitabu cha “Historia ya Nabii Nathani,” katika “Unabii wa Ahiya wa Shilo,” na katika “Maono ya Ido” mwonaji, ambayo yahusu pia Yeroboamu mwana wa Nebati.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kuhusu matukio mengine ya utawala wa Sulemani, kuanzia mwanzo hadi mwisho, je, hayakuandikwa katika kumbukumbu za nabii Nathani, katika unabii wa Ahiya Mshiloni na katika maono ya Ido mwonaji kuhusu Yeroboamu mwana wa Nebati?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi mambo yake Sulemani yaliyosalia, ya kwanza, na ya mwisho, je! Hayakuandikwa katika tarehe ya Nathani nabii, katika unabii wa Ahiya, Mshiloni, na katika maono ya Ido mwonaji juu ya Yeroboamu mwana wa Nebati?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Matendo mengine ya Solomoni, kutoka mwanzo hadi mwisho, yameandikwa katika kitabu cha “Historia ya Nabii Nathani,” katika “Unabii wa Ahiya wa Shilo,” na katika “Maono ya Ido” mwonaji, ambayo yahusu pia Yeroboamu mwana wa Nebati.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa habari ya matukio mengine ya utawala wa Solomoni, kuanzia mwanzo hadi mwisho, je, hayakuandikwa katika kumbukumbu za nabii Nathani, katika unabii wa Ahiya Mshiloni na katika maono ya Ido mwonaji dhidi ya Yeroboamu mwana wa Nebati?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa habari za matukio mengine ya utawala wa Sulemani, kuanzia mwanzo hadi mwisho, je, hayakuandikwa katika kumbukumbu za nabii Nathani, katika unabii wa Ahiya Mshiloni na katika maono ya Ido mwonaji kuhusu Yeroboamu mwana wa Nebati?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi mambo yake Sulemani yaliyosalia, tangu mwanzo hadi mwisho je! Hayakuandikwa katika kitabu cha kumbukumbu la Nathani nabii, katika unabii wa Ahiya, Mshiloni, na katika maono ya Ido mwonaji ambayo yahusu Yeroboamu mwana wa Nebati?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Matendo mengine ya Solomoni, kutoka mwanzo hadi mwisho, yameandikwa katika kitabu cha “Historia ya Nabii Nathani,” katika “Unabii wa Ahiya wa Shilo,” na katika “Maono ya Ido” mwonaji, ambayo yahusu pia Yeroboamu mwana wa Nebati.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mambo mengine ya Salomo ya kwanza na ya mwisho hayakuandikwa kwenye mambo ya mfumbuaji Natani na kwenye ufumbuaji wa Ahia wa Silo na kwenye maono ya mchunguzaji Yedi, aliyomchunguzia Yeroboamu, mwana wa Nebati?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi mambo yake Sulemani yaliyosalia, ya kwanza, na ya mwisho, je! Hayakuandikwa katika tarehe ya Nathani nabii, katika unabii wa Ahiya, Mshiloni, na katika maono ya Ido mwonaji juu ya Yeroboamu mwana wa Nebati?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Matendo mengine ya Solomono, kutoka mwanzo mpaka mwisho, yameandikwa katika kitabu cha “Historia ya Nabii Natani,” katika “Unabii wa Ahiya wa Shilo,” na katika “Maono ya Ido Mwonaji,” juu ya Yeroboamu mwana wa Nebati.