2 Chronicles 9:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Malkia wa Sheba alipoiona hekima ya Solomoni na nyumba aliyokuwa ameijenga,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Malkia wa Sheba alipoona hekima yote ya Sulemani, na jumba la kifalme alilokuwa amejenga,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye malkia wa Sheba alipoona hekima ya Sulemani, na nyumba aliyoijenga,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Malkia wa Sheba alipoiona hekima ya Solomoni na nyumba aliyokuwa ameijenga,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Malkia wa Sheba alipoona hekima yote ya Solomoni na jumba la kifalme alilokuwa amejenga,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Malkia wa Sheba alipoona hekima yote ya Sulemani na jumba la kifalme alilokuwa amejenga,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye malkia wa Sheba alipoona hekima ya Sulemani, na nyumba aliyoijenga,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Malkia wa Sheba alipoiona hekima ya Solomoni na nyumba aliyokuwa ameijenga,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, mfalme wa kike wa Saba alipouona werevu wa Salomo kuwa wa kweli, kisha akaitazama nyumba, aliyoijenga,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye malkia wa Sheba alipoona hekima ya Sulemani, na nyumba aliyoijenga,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Malkia wa Seba alishangaa sana kuona hekima ya Solomono, nyumba aliyokuwa ameijenga,