2 Chronicles 9:30 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Solomoni alitawala nchi yote ya Israeli kwa miaka arubaini.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sulemani alitawala Israeli yote miaka arobaini akiwa Yerusalemu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akatawala Sulemani katika Yerusalemu juu ya Israeli wote miaka arobaini.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Solomoni alitawala nchi yote ya Israeli kwa miaka arubaini.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Solomoni akatawala huko Yerusalemu juu ya Israeli yote kwa miaka arobaini.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sulemani alitawala Israeli yote miaka arobaini, akiwa Yerusalemu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Sulemani akatawala katika Yerusalemu juu ya Israeli wote miaka arobaini.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Solomoni alitawala nchi yote ya Israeli kwa miaka arubaini.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Salomo akawa mfalme mle Yerusalemu na kuwatawala Waisiraeli wote miaka 40.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akatawala Sulemani katika Yerusalemu juu ya Israeli wote miaka arobaini.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Solomono alitawala inchi yote ya Israeli kwa miaka makumi ine.