2 Chronicles 9:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wana bahati wake zako! Wana bahati hawa watumishi wako ambao daima husimama mbele yako na kusikiliza hekima yako!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Heri watu wako! Heri hawa maafisa wako wanaosimama mbele yako daima na kusikia hekima yako!
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Heri watu wako, na heri hawa watumishi wako, wasimamao mbele yako sikuzote, wakisikia hekima yako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wana bahati wake zako! Wana bahati hawa watumishi wako ambao daima husimama mbele yako na kusikiliza hekima yako!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Heri watu wako! Heri hawa maafisa wako wasimamao mbele yako daima na kusikia hekima yako!
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Heri watu wako! Heri hawa maafisa wako wasimamao mbele yako daima na kusikia hekima yako!
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Heri watu wako, na heri hawa watumishi wako, wasimamao mbele yako siku zote, wakisikia hekima yako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wana bahati wake zako! Wana bahati hawa watumishi wako ambao daima husimama mbele yako na kusikiliza hekima yako!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wenye shangwe ni watu wako, nao hawa watumwa wako ni wenye shangwe kwa kusimama mbele yako siku zote na kuyasikia maneno ya werevu wako ulio wa kweli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Heri watu wako, na heri hawa watumishi wako, wasimamao mbele yako sikuzote, wakisikia hekima yako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Heri kwa wake zako! Heri kwa hawa watumishi wako ambao wanasimama siku zote mbele yako na kusikiliza hekima yako!