2 Corinthians 1:16 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nilikusudia kupita kwenu nikiwa safarini kwenda Makedonia na wakati wa kurudi pia, ili nipate msaada wenu kwa safari yangu kwenda Yudea.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nilipanga kuwatembelea nikiwa safarini kwenda Makedonia, na kurudi tena kwenu nikitoka Makedonia, ili mnisafirishe katika safari yangu ya kwenda Yudea.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na kupita kwenu na kuendelea mpaka Makedonia; na tena toka Makedonia kurudi kwenu na kusafirishwa nanyi kwenda Uyahudi.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Nilipanga kuwatembelea nilipokuwa nikienda Makedonia na nilipokuwa ninarudi. Na nilipanga kuwaomba mniletee kutoka huko hadi Yudea chochote ambacho nilihitaji kwa ajili ya safari yangu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Nilikusudia kupita kwenu nikiwa safarini kwenda Makedonia, na wakati wa kurudi pia, ili nipate msaada wenu kwa safari yangu kwenda Yudea.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nilikusudia kupita kwenu nikiwa safarini kwenda Makedonia na wakati wa kurudi pia, ili nipate msaada wenu kwa safari yangu kwenda Yudea.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nilipanga kuwatembelea nikiwa safarini kwenda Makedonia na kurudi tena kwenu nikitoka Makedonia, ili mnisafirishe katika safari yangu ya kwenda Uyahudi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nilipanga kuwatembelea nikiwa safarini kwenda Makedonia na kurudi tena kwenu nikitoka Makedonia, ili mnisafirishe katika safari yangu ya kwenda Uyahudi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na kupita kwenu na kuendelea mpaka Makedonia; na tena toka Makedonia kurudi kwenu na kusafirishwa nanyi kwenda Yudea.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nilikusudia kupita kwenu nikiwa safarini kwenda Makedonia na wakati wa kurudi pia, ili nipate msaada wenu kwa safari yangu kwenda Yudea.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
hapo, nikipita kwenu kwenda Makedonia, tena nikitoka Makedonia kuja kwenu ninyi, nipate kusindikizwa nanyi, kwenda Yudea.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na kupita kwenu na kuendelea mpaka Makedonia; na tena toka Makedonia kurudi kwenu na kusafirishwa nanyi kwenda Uyahudi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nilikusudia kupitia kwenu kwa kwenda Makedonia, kisha ningewaona tena wakati wa kurudia, kwa hiyo mungenisaidia kwa safari yangu kwenda Yudea.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
na kupita kwenu na kuendelea hatta Umakedoni; na tena toka Makedonia kurudi kwenu na kusafirishwa nanyi kwenda Yahudi.