2 Corinthians 1:21 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mungu mwenyewe ndiye mwenye kutuimarisha sisi na nyinyi pia katika Kristo, na ndiye anayetuweka wakfu;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi ni Mungu atufanyaye sisi pamoja nanyi kusimama imara katika Al-Masihi. Alitupaka mafuta
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Yeye atufanyaye imara pamoja nanyi katika Kristo, na kututia mafuta, ni Mungu,
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Na Mungu ndiye anayewafanya ninyi na sisi kuwa imara katika Kristo. Mungu pia ndiye aliyetuchagua kwa ajili ya kazi yake.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Mungu mwenyewe ndiye mwenye kutuimarisha sisi na ninyi pia katika Kristo, na ndiye anayetuweka wakfu;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mungu mwenyewe ndiye mwenye kutuimarisha sisi na nyinyi pia katika Kristo, na ndiye anayetuweka wakfu;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Basi ni Mungu atufanyaye sisi pamoja nanyi kusimama imara katika Kristo. Ametutia mafuta
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Basi ni Mungu atufanyaye sisi pamoja nanyi kusimama imara katika Al-Masihi. Ametutia mafuta
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi Yeye atufanyaye imara pamoja nanyi katika Kristo, na kututia mafuta, ni Mungu,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mungu mwenyewe ndiye mwenye kutuimarisha sisi na nyinyi pia katika Kristo, na ndiye anayetuweka wakfu;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini Mungu ndiye anayetutia nguvu sisi pamoja na ninyi, tuungane na Kristo; tena ndiye aliyetupatia cheo sisi
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Yeye atufanyaye imara pamoja nanyi katika Kristo, na kututia mafuta, ni Mungu,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ni Mungu mwenyewe ndiye anayetuimarisha pamoja nanyi katika ushirika na Kristo, na ni yeye mwenyewe ndiye aliyetuchagua.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Bassi Yeye atufanyae imara pamoja na ninyi katika Kristo, na kututia mafuta, ni Mungu,