2 Corinthians 1:22 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
ndiye aliyetutia mhuri wa kuwa mali yake yeye na kutujalia Roho mioyoni mwetu kama dhamana ya mambo yote ambayo ametuwekea.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kwa kututia muhuri wake na kutupatia Roho wake Mtakatifu mioyoni mwetu kuwa rehani kwa ajili ya kututhibitishia yote aliyotuahidi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
naye ndiye aliyetutia muhuri akatupa arabuni ya Roho mioyoni mwetu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Aliweka alama yake juu yetu ili kuonesha kuwa tu mali yake. Ndiyo, amemweka roho wake ndani ya mioyo yetu kama malipo ya awali yanayotuhakikishia mambo yote atakayotupa.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
ndiye aliyetutia mhuri wa kuwa mali yake yeye na kutujalia Roho mioyoni mwetu kama dhamana ya mambo yote ambayo ametuwekea.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
ndiye aliyetutia mhuri wa kuwa mali yake yeye na kutujalia Roho mioyoni mwetu kama dhamana ya mambo yote ambayo ametuwekea.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kwa kututia muhuri wake na kutupa Roho wake mioyoni mwetu kuwa rehani kwa ajili ya kututhibitishia kile kijacho.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kwa kututia muhuri wake na kutupa Roho wake mioyoni mwetu kuwa rehani kwa ajili ya kututhibitishia kile kijacho.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
naye ndiye aliyetutia mhuri akatupa arabuni ya Roho mioyoni mwetu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
ndiye aliyetutia mhuri wa kuwa mali yake yeye na kutujalia Roho mioyoni mwetu kama dhamana ya mambo yote ambayo ametuwekea.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
na kututia muhuri alipotupa Roho, akae mioyoni mwetu, awe rehani yetu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
naye ndiye aliyetutia muhuri akatupa arabuni ya Roho mioyoni mwetu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ameweka kitambulisho juu yetu kinachohakikisha kama sisi ni watu wake na kuweka Roho Mutakatifu ndani yetu kuwa rehani ya vitu vyote anavyotuwekea.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
nae ndiye aliyetutia muhuri akatupa arabuni ya Roho mioyoni mwetu.