2 Corinthians 10:17 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini kama yasemavyo Maandiko: “Mwenye kujivuna na ajivunie kazi ya Bwana.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini, “Yeye ajisifuye na ajisifu katika Mwenyezi Mungu.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini, Yeye ajisifuye, na ajisifu katika Bwana.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
“Yeyote anayejisifu na ajisifu juu ya Bwana tu.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Lakini kama yasemavyo Maandiko: “Mwenye kuona fahari na aone fahari juu ya alichofanya Bwana.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini kama yasemavyo Maandiko: “Mwenye kujivuna na ajivunie kazi ya Bwana.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini, “yeye ajisifuye ajisifu katika Bwana.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini, “Yeye ajisifuye na ajisifu katika Bwana Mwenyezi.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini, Yeye ajisifuye, na ajisifu katika Bwana.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini kama yasemavyo Maandiko: “Mwenye kujivuna na ajivunie kazi ya Bwana.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini mwenye kujivuna na ajivunie kuwa wa Bwana!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini, Yeye ajisifuye, na ajisifu katika Bwana.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini, kama Maandiko Matakatifu yanavyosema: “Anayetaka kujivuna, ajivune kwa ajili ya Bwana.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Lakini yeye ajisifuye, na ajisifu kukatika Bwana.