2 Corinthians 10:18 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Anayekubaliwa si yule anayejisifu mwenyewe, bali yule anayesifiwa na Bwana.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa maana si yeye ajisifuye mwenyewe akubaliwaye, bali yeye ambaye Mwenyezi Mungu humsifu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana mtu mwenye kukubaliwa si yeye ajisifuye, bali yeye asifiwaye na Bwana.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kile watu wanachosema kuhusu wao wenyewe hakina maana yeyote. Cha muhimu ni ikiwa Bwana anasema kuwa wamefanya vizuri.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Anayekubaliwa si yule anayejisifu mwenyewe, bali yule anayesifiwa na Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Anayekubaliwa si yule anayejisifu mwenyewe, bali yule anayesifiwa na Bwana.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa maana si yeye ajisifuye mwenyewe akubaliwaye, bali yeye ambaye Bwana humsifu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa maana si yeye ajisifuye mwenyewe akubaliwaye, bali yeye ambaye Mwenyezi Mungu humsifu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana mtu mwenye kukubaliwa si yeye ajisifuye, bali yeye asifiwaye na Bwana.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Anayekubaliwa si yule anayejisifu mwenyewe, bali yule anayesifiwa na Bwana.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani anayejisifu mwenyewe siye mkweli, ila yule anayesifiwa na Bwana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana mtu mwenye kukubaliwa si yeye ajisifuye, bali yeye asifiwaye na Bwana.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa maana, mutu anayekubaliwa si yule anayejisifu mwenyewe, lakini ni yule anayesifiwa na Bwana.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Maana mtu mwenye kubaliwa si yeye ajisifuye, hali yeve asifiwae na Bwana.