2 Corinthians 10:4 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maana, silaha tunazotumia katika vita vyetu si silaha za kidunia, ila ni nguvu ya Mungu yenye kuharibu ngome zote. Tunaharibu hoja zote za uongo
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Silaha za vita vyetu si za mwili, bali zina uwezo katika Mungu hata kuangusha ngome.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
(maana silaha za vita vyetu si za mwili, bali zina uwezo katika Mungu hata kuangusha ngome;)
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Silaha tunazozitumia si za kibinadamu. Silaha zetu zina nguvu kutoka kwa Mungu na zinaweza kuharibu ngome za adui. Tunaharibu mabishano ya watu,
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Maana, silaha tunazotumia katika vita vyetu si silaha za kidunia, ila ni nguvu za Mungu zenye kuharibu ngome zote. Tunaharibu hoja zote za uongo,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maana, silaha tunazotumia katika vita vyetu si silaha za kidunia, ila ni nguvu ya Mungu yenye kuharibu ngome zote. Tunaharibu hoja zote za uongo
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Silaha za vita vyetu si za mwili, Bali zina uwezo katika Mungu hata kuangusha ngome.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Silaha za vita vyetu si za mwili, bali zina uwezo katika Mungu hata kuangusha ngome,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
(maana silaha za vita vyetu si za mwili, bali zina uwezo katika Mungu hata kuangusha ngome;)
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maana, silaha tunazotumia katika vita vyetu si silaha za kidunia, ila ni nguvu ya Mungu yenye kuharibu ngome zote. Tunaharibu hoja zote za uongo
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani mata ya magombano yetu si ya kimwili, lakini yako na nguvu ya Kimungu, yaweza kubomoa ngome kama hapo, yanaponyenyekeza mawazo yote
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
(maana silaha za vita vyetu si za mwili, bali zina uwezo katika Mungu hata kuangusha ngome;)
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Silaha tunazotumia katika vita si za kimwili, lakini silaha zetu ni uwezo wa Mungu unaoweza kuharibu upango wa adui. Tunaharibu mawazo ya uongo na
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
maana silaha za vita yetu si za mwili, bali zina uwezo katika Mungu kuangusha ngome;