2 Corinthians 10:6 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mkisha kuwa wakamilifu katika kutii, sisi tuko tayari kuadhibu kila namna ya kutotii.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Tena tunakuwa tayari kuadhibu kila tendo la kutotii, hapo kutii kwenu kutakapokamilika.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
tena tukiwa tayari kupatiliza maasi yote, kutii kwenu kutakapotimia.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Tuko tayari kumwadhibu kila mtu asiyetii, lakini tunataka ninyi muwe watiifu ipasavyo kwanza.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Mkisha kuwa wakamilifu katika kutii, sisi tuko tayari kuadhibu kila namna ya kutotii.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mkisha kuwa wakamilifu katika kutii, sisi tuko tayari kuadhibu kila namna ya kutotii.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
tena tukiwa tayari kuadhibu kila tendo la kutokutii, kutii kwenu kutakapokamilika.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
tena tukiwa tayari kuadhibu kila tendo la kutotii, kutii kwenu kutakapokamilika.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
tena tukiwa tayari kupatiliza maasi yote, kutii kwenu kutakapotimia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mkisha kuwa wakamilifu katika kutii, sisi tuko tayari kuadhibu kila namna ya kutotii.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nasi tuko tayari kumlipiza kila mtu asiyetii, hapo mtakapokuwa mmemaliza kutii.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
tena tukiwa tayari kupatiliza maasi yote, kutii kwenu kutakapotimia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sisi tuko tayari kuazibu kila kitendo cha uasi, mutakapoonyesha kwamba munatii kabisa.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
tukiwa tayari kupatiliza maasi yote, kutii kwenu kutakapotimia.