2 Corinthians 10:8 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hata kama nimezidi katika kujivuna kwangu juu ya ule uwezo aliotupa — uwezo wa kuwajenga na sio wa kubomoa — hata hivyo sijuti hata kidogo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi hata nikijisifu zaidi kidogo kuhusu mamlaka tuliyo nayo, ambayo Bwana Isa alitupatia ili kuwajenga wala si kuwabomoa, mimi sitaionea haya.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana, nijapojisifu zaidi kidogo kwa ajili ya mamlaka yetu, (tuliyopewa na Bwana, tupate kuwajenga wala si kuwaangusha), sitatahayarika;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Inaweza kuonekana kana kwamba tunajivuna sana kupita kiasi kidogo kuhusu mamlaka ambayo Bwana ametupa sisi. Lakini alitupa mamlaka hii ili kuwatia nguvu ninyi, na sio kuwaumiza. Hivyo sitaona haya kwa lolote ambalo tumejisifu kwalo.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Hata kama nimezidi katika kujivuna kwangu juu ya ule uwezo aliotupa—uwezo wa kuwajenga na sio wa kubomoa—hata hivyo sijutii hata kidogo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hata kama nimezidi katika kujivuna kwangu juu ya ule uwezo aliotupa — uwezo wa kuwajenga na sio wa kubomoa — hata hivyo sijuti hata kidogo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Basi hata kama nikijisifu zaidi kidogo kuhusu mamlaka tuliyo nayo, ambayo Mungu alitupa ili kuwajenga wala si ya kuwabomoa, mimi sitaionea haya.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Basi hata kama nikijisifu zaidi kidogo kuhusu mamlaka tuliyo nayo, ambayo Bwana Isa alitupa ili kuwajenga wala si kuwabomoa, mimi sitaionea haya.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana, nijapojisifu zaidi kidogo kwa ajili ya mamlaka yetu, (tuliyopewa na Bwana, tupate kuwajenga wala si kuwaangusha), sitatahayarika;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hata kama nimezidi katika kujivuna kwangu juu ya ule uwezo aliotupa – uwezo wa kuwajenga na sio wa kubomoa – hata hivyo sijuti hata kidogo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ikiwa nafuliza kujivunia nguvu yetu, Bwana aliyotupa, tuwajenge, tusiwajengue, napo hapo sitashindika kuwa mwongo,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana, nijapojisifu zaidi kidogo kwa ajili ya mamlaka yetu, (tuliyopewa na Bwana, tupate kuwajenga wala si kuwaangusha), sitatahayarika;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa maana sioni haya hata kama nimejivuna zaidi kwa ajili ya uwezo Bwana aliotupatia sisi. Kwa maana uwezo ule ni kwa ajili ya kuwajenga katika imani, lakini si wa kubomoa.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Maana, nijapojisifu zaidi kidogo kwa ajili ya mamlaka yetu (tuliyopewa na Bwana, tupate kuwajenga ninyi wala si kuwaangusha), sitatahayarika;