2 Corinthians 10:9 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sipendi mfikiri kwamba nataka kuwatisha nyinyi kwa barua zangu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sitaki nionekane kama ninayejaribu kuwatisha kwa nyaraka zangu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
nisije nikaonekana kana kwamba nataka kuwaogofya kwa nyaraka zangu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Sitaki mfikiri kuwa najaribu kuwatisha kwa barua zangu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Sipendi mfikiri kwamba nataka kuwatisha ninyi kwa barua zangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sipendi mfikiri kwamba nataka kuwatisha nyinyi kwa barua zangu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sitaki nionekane kama ninayejaribu kuwatisha kwa nyaraka zangu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sitaki nionekane kama ninayejaribu kuwatisha kwa nyaraka zangu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
nisije nikaonekana kana kwamba nataka kuwaogofya kwa nyaraka zangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sipendi mfikiri kwamba nataka kuwatisha nyinyi kwa barua zangu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
wala sitafanana na mtu anayewaogopesha tu kwa barua.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
nisije nikaonekana kana kwamba nataka kuwaogofya kwa nyaraka zangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sitaki kuonekana kwamba ninataka kuwaogopesha kwa barua zangu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
nisije nikaonekana kana kwamba nataka kuwaogofya kwa nyaraka zangu.