2 Corinthians 11:13 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maana, hao ni mitume wa uongo, wafanyakazi wadanganyifu wanaojisingizia kuwa mitume wa Kristo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Watu kama hao ni mitume wa uongo, ni wafanyakazi wadanganyifu, wanaojigeuza waonekane kama mitume wa Al-Masihi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana watu kama hao ni mitume wa uongo, watendao kazi kwa hila, wanaojigeuza wawe mfano wa mitume wa Kristo.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Wao ni mitume wa uongo, watenda kazi walio wadanganyifu. Wao hujifanya kuwa ni mitume wa Kristo.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Maana, hao ni mitume wa uongo, wafanyakazi wadanganyifu wanojisingizia kuwa mitume wa Kristo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maana, hao ni mitume wa uongo, wafanyakazi wadanganyifu wanaojisingizia kuwa mitume wa Kristo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Watu kama hao ni mitume wa uongo, ni wafanyakazi wadanganyifu, wanaojigeuza waonekane kama mitume wa Kristo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Watu kama hao ni mitume wa uongo, ni wafanyakazi wadanganyifu, wanaojigeuza waonekane kama mitume wa Al-Masihi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana watu kama hao ni mitume wa uongo, watendao kazi kwa hila, wanaojigeuza wawe mfano wa mitume wa Kristo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maana, hao ni mitume wa uongo, wafanyakazi wadanganyifu wanaojisingizia kuwa mitume wa Kristo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani hao ndio mitume wa uwongo na wafanya kazi wajanja, hujigeuza kuwa mitume wa Kristo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana watu kama hao ni mitume wa uongo, watendao kazi kwa hila, wanaojigeuza wawe mfano wa mitume wa Kristo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watu wale ni mitume wa uongo, wanafanya kazi yao kwa udanganyifu wakijisingizia kuwa mitume wa kweli wa Kristo.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Maana hawo ni mitume wa uwongo, watendao kazi kwa hila, wanaojigeuza wawe mfano wa mitume ya Kristo.