2 Corinthians 11:18 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maadamu wengi hujivuna kwa sababu za kidunia, nami pia nitajivuna.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa kuwa wengi wanajisifu kama vile ulimwengu ufanyavyo, mimi nami nitajisifu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa sababu wengi wanajisifu kwa jinsi ya mwili, mimi nami nitajisifu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Wengi wengine wanajivuna jinsi ambavyo watu wa dunia hii wanafanya. Hivyo, nami nitajivuna kwa namna hiyo.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Maadam wengi hujivuna kwa sababu za kidunia, nami pia nitajivuna.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maadamu wengi hujivuna kwa sababu za kidunia, nami pia nitajivuna.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa kuwa wengi wanajisifu kama vile ulimwengu ufanyavyo, mimi nami nitajisifu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa kuwa wengi wanajisifu kama vile ulimwengu ufanyavyo, mimi nami nitajisifu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa sababu wengi wanajisifu kwa jinsi ya mwili, mimi nami nitajisifu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maadamu wengi hujivuna kwa sababu za kidunia, nami pia nitajivuna.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa sababu wengi hujivuna kimtu, nami nitajivuna.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa sababu wengi wanajisifu kwa jinsi ya mwili, mimi nami nitajisifu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watu wengi wanajivuna kwa namna ya kimwili, kwa sababu hiyo mimi nitajivuna vilevile.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Iwapo wengi wanajisifu kwa jinsi ya mwili mimi nami nitajisifu.