2 Corinthians 11:24 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mara tano nilichapwa vile viboko arubaini kasoro kimoja vya Wayahudi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mara tano nimepigwa na Wayahudi mijeledi arobaini kasoro moja.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa Wayahudi mara tano nalipata mapigo arobaini kasoro moja.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Mara tano Wayahudi wamenipa adhabu ya viboko 39.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Mara tano nilichapwa vile viboko thelathini na tisa vya Wayahudi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mara tano nilichapwa vile viboko arubaini kasoro kimoja vya Wayahudi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mara tano nimechapwa na Wayahudi viboko arobaini kasoro kimoja.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mara tano nimechapwa na Wayahudi viboko arobaini kasoro kimoja.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa Wayahudi mara tano nilipata mapigo arobaini kasoro moja.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mara tano nilichapwa vile viboko arubaini kasoro kimoja vya Wayahudi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mara tano nalipata kwa Wayuda fimbo 40 kupungua moja,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa Wayahudi mara tano nalipata mapigo arobaini kasoro moja.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mara tano Wayuda wamenipiga viboko makumi tatu na tisa.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Kwa Wayahudi marra tano nalipata mapigo arubaini kasoro moja.