2 Corinthians 11:28 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Na, licha ya mengine mengi, kila siku nakabiliwa na shughuli za makanisa yote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Zaidi ya hayo yote, nakabiliwa kila siku na mzigo wa wajibu wangu kwa makundi yote ya waumini.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Baghairi ya mambo ya nje, yako yanijiayo kila siku, ndiyo maangalizi ya makanisa yote.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Na kuna matatizo mengine mengi zaidi. Mojawapo ya hayo ni mzigo nilio nao kila siku wa majukumu yangu: Ninawaza juu ya makanisa yote.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Na, licha ya mengine mengi, kila siku nakabiliwa na shughuli za makanisa yote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Na, licha ya mengine mengi, kila siku nakabiliwa na shughuli za makanisa yote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Zaidi ya hayo yote, nakabiliwa na mzigo wa wajibu wangu kwa makanisa yote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Zaidi ya hayo yote, nakabiliwa na mzigo wa wajibu wangu kwa makundi yote ya waumini.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mbali na mambo ya nje, yako yanijiayo kila siku, ndiyo maangalizi ya makanisa yote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Na, licha ya mengine mengi, kila siku nakabiliwa na shughuli za makanisa yote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hayo ya nje hupitwa nayo yanijiayo kila siku, nikiwasumbukia wateule wote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Baghairi ya mambo ya nje, yako yanijiayo kila siku, ndiyo maangalizi ya makanisa yote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na bila kutaja mambo yote mengine kama hayo, kila siku ninashugulika na makanisa yote.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Baghairi ya mambo ya nje, yako yanijiayo killa siku, ndio maangalizi ya makanisa yote.