2 Corinthians 11:30 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ikinilazimu kujivuna, basi, nitajivunia udhaifu wangu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kama ni lazima nijisifu, basi nitajisifia yale mambo yanayoonesha udhaifu wangu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ikinibidi kujisifu, nitajisifia mambo ya udhaifu wangu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Ikiwa ni lazima nisifu, nitajisifu katika vitu vinavyonidhihirisha kuwa mimi ni dhaifu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Ikinilazimu kujivuna, basi, nitajivunia udhaifu wangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ikinilazimu kujivuna, basi, nitajivunia udhaifu wangu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kama ni lazima nijisifu, basi nitajisifia yale mambo yanayoonyesha udhaifu wangu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kama ni lazima nijisifu, basi nitajisifia yale mambo yanayoonyesha udhaifu wangu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ikinibidi kujisifu, nitajisifia mambo ya udhaifu wangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ikinilazimu kujivuna, basi, nitajivunia udhaifu wangu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nikishurutishwa kujivuna nitajivunia unyonge wangu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ikinibidi kujisifu, nitajisifia mambo ya udhaifu wangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kama ikinipasa kujivuna nitajivuna kwa ajili ya uzaifu wangu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Ikinibidi kujisifu, nitajisifia mambo ya udhaifu wangu.