2 Corinthians 11:31 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mungu na Baba wa Bwana Yesu — jina lake litukuzwe milele — yeye anajua kwamba sisemi uongo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mungu na Baba wa Bwana wetu Isa, yeye ambaye anahimidiwa milele, anajua ya kuwa mimi sisemi uongo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mungu, Baba wa Bwana Yesu, aliye mtukufu hata milele, anajua ya kuwa sisemi uongo.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Mungu ajua kuwa sisemi uongo. Yeye ni Mungu na Baba wa Bwana wetu Yesu Kristo, na anapaswa kutukuzwa milele.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Mungu na Baba wa Bwana Yesu—jina lake litukuzwe milele—yeye anajua kwamba sisemi uongo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mungu na Baba wa Bwana Yesu — jina lake litukuzwe milele — yeye anajua kwamba sisemi uongo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mungu na Baba wa Bwana Yesu, yeye ambaye anahimidiwa milele, anajua ya kuwa mimi sisemi uongo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mungu na Baba wa Bwana Isa, yeye ambaye anahimidiwa milele, anajua ya kuwa mimi sisemi uongo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mungu, Baba wa Bwana Yesu, aliye mtukufu hata milele, anajua ya kuwa sisemi uongo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mungu na Baba wa Bwana Yesu – jina lake litukuzwe milele – yeye anajua kwamba sisemi uongo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mungu, Baba wa Bwana Yesu, atukuzwaye kale na kale anajua: sisemi uwongo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mungu, Baba wa Bwana Yesu, aliye mtukufu hata milele, anajua ya kuwa sisemi uongo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mungu Baba ya Bwana Yesu, anayetukuzwa hata milele, anajua kwamba sisemi uongo.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Mungu, Baba wa Bwana wetu Yesu Kristo, aliye mtukufu hatta milele, ajua va kuwa sisemi nwongo.