2 Corinthians 11:33 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini, ndani ya kapu kubwa, niliteremshwa nje kupitia katika nafasi ukutani, nikachopoka mikononi mwake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini niliteremshwa kwa kapu kubwa kupitia dirisha ukutani, nikaokolewa kutoka mkononi mwake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
nami nikatelemshwa ndani ya kapu, katika dirisha la ukutani, nikaokoka katika mikono yake.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Lakini baadhi ya marafiki wakaniweka ndani ya kikapu. Kisha wakaniteremsha chini kupitia dirisha lililokuwa kwenye katika ukuta wa mji. Hivyo nikamtoroka gavana.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Lakini, ndani ya kapu kubwa, niliteremshwa nje kupitia katika nafasi ukutani, nikachopoka mikononi mwake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini, ndani ya kapu kubwa, niliteremshwa nje kupitia katika nafasi ukutani, nikachopoka mikononi mwake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini nilishushwa kwa kapu kubwa kupitia katika dirisha ukutani, nikatoroka kutoka mikononi mwake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini nilishushwa kwa kapu kubwa kupitia katika dirisha ukutani, nikatoroka kutoka mikononi mwake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
nami nikateremshwa ndani ya kapu, katika dirisha la ukutani, nikaokoka katika mikono yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini, ndani ya kapu kubwa, niliteremshwa nje kupitia katika nafasi ukutani, nikachopoka mikononi mwake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nami nikatolewa dirishani, nikashushwa katika kapu ukutani, nikaokoka mikononi mwake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
nami nikatelemshwa ndani ya kapu, katika dirisha la ukutani, nikaokoka katika mikono yake. e.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini wakanitia ndani ya kitunga na kunishusha kwenye ukuta wa muji, tokea ndani ya dirisha, nami nikapata kuponyoka.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
nikashushwa ndani ya kapu, katika dirisha la ukutani, nikaokoka na mikono yake.