2 Corinthians 11:5 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sidhani kwamba mimi ni mdogo kuliko hao “mitume wakuu.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini sidhani ya kuwa mimi ni dhalili sana kuliko hao “mitume wakuu”.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana nadhani ya kuwa mimi sikupungukiwa na kitu walicho nacho mitume walio wakuu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Sidhani kuwa hao “mitume wakuu” ni bora kuliko mimi nilivyo.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Sidhani kwamba mimi ni mdogo kuliko hao “mitume wakuu.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sidhani kwamba mimi ni mdogo kuliko hao “mitume wakuu.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini sidhani ya kuwa mimi ni dhalili sana kuliko hao “mitume wakuu.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini sidhani ya kuwa mimi ni dhalili sana kuliko hao “mitume wakuu.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana nadhani ya kuwa mimi sikupungukiwa na kitu walicho nacho mitume walio wakuu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sidhani kwamba mimi ni mdogo kuliko hao “mitume wakuu.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini nadhani, hakuna nishindwacho nao wale wajipao macheo yote ya utume.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana nadhani ya kuwa mimi sikupungukiwa na kitu walicho nacho mitume walio wakuu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ninazani kwamba wale mitume wanaohesabiwa kuwa wakubwa zaidi hawanipiti kitu kabisa.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Maana nadhani ya kuwa mimi sikupungukiwa kitu walicho nacho mitume walio wakuu.