2 Corinthians 12:17 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Je, mimi niliwanyonyeni kwa njia ya mjumbe yeyote niliyemtuma kwenu?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Je, nilijipatia faida kwa kumtumia mtu yeyote niliyemtuma kwenu?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Je! Mtu ye yote niliyemtuma kwenu, kwa mtu huyo naliwatoza kitu?
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Je, niliwadanganya kwa kuwatumia mtu yeyote kati ya wale niliyowatuma kwenu? Mnafahamu kuwa sikufanya hivyo.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Je, mimi niliwanyonyeni kwa njia ya mjumbe yeyote niliyemtuma kwenu?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Je, mimi niliwanyonyeni kwa njia ya mjumbe yeyote niliyemtuma kwenu?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Je, nilijipatia faida kwa kumtumia mtu ye yote niliyemtuma kwenu?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Je, nilijipatia faida kwa kumtumia mtu yeyote niliyemtuma kwenu?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Je! Mtu yeyote niliyemtuma kwenu, kwa mtu huyo niliwatoza kitu?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Je, mimi niliwanyonyeni kwa njia ya mjumbe yeyote niliyemtuma kwenu?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Je? Nimeyatwaa yaliyo yenu ninyi kwa mikono yao wale, niliowatuma kwenu?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Je! Mtu ye yote niliyemtuma kwenu, kwa mtu huyo naliwatoza kitu?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi niliwaibia ninyi kwa njia ya mutu mumoja kati ya wale niliowatuma kwenu?
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Je! mtu aliye yote niliyemtuma kwenu, kwa mtu huyo naliwatoza kitu?