2 Corinthians 12:8 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nilimsihi Bwana mara tatu kuhusu jambo hili ili linitoke.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa habari ya jambo hili, nilimsihi Mwenyezi Mungu mara tatu aniondolee mwiba huu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa ajili ya kitu hicho nalimsihi Bwana mara tatu kwamba kinitoke.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Nilimwomba Bwana mara tatu kuliondoa tatizo hili kwangu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Nilimsihi Bwana mara tatu kuhusu jambo hili ili linitoke.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nilimsihi Bwana mara tatu kuhusu jambo hili ili linitoke.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa habari ya jambo hili nilimsihi Bwana mara tatu aniondolee mwiba huu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa habari ya jambo hili nilimsihi Bwana Isa mara tatu aniondolee mwiba huu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa ajili ya kitu hicho nilimsihi Bwana mara tatu kwamba kinitoke.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nilimsihi Bwana mara tatu kuhusu jambo hili ili linitoke.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa ajili yake yeye nimemlalamikia Bwana mara tatu, aniondokee;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa ajili ya kitu hicho nalimsihi Bwana mara tatu kwamba kinitoke.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nami nilimusihi Bwana mara tatu kusudi aniondolee kitu kile.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Kwa ajili ya kitu hiki nalimsihi Bwaua marra tatu kinitoke.