2 Corinthians 13:12 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Salimianeni kwa ishara ya upendo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Salimianeni kwa busu takatifu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Salimianeni kwa busu takatifu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Msalimiane kwa salamu maalum ya watu wa Mungu. Watakatifu wote wa Mungu hapa nao wanawasalimu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Salimianeni kwa ishara ya upendo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Salimianeni kwa ishara ya upendo. Watu wote wa Mungu huku wanawasalimuni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Salimianeni ninyi kwa ninyi kwa busu takatifu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Salimianeni ninyi kwa ninyi kwa busu takatifu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Salimianeni kwa busu takatifu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Salimianeni kwa ishara ya upendo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mwamkiane mkinoneana, kama watakatifu walivyozoea! Watakatifu wote wanawasalimu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Salimianeni kwa busu takatifu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Musalimiane kwa upendo wa kikristo. Watu wote wa Mungu wanawasalimia.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Salimianeni kwa busu takatifu.