2 Corinthians 13:8 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maana hatuwezi kuupinga ukweli; uwezo tulio nao ni wa kuuendeleza ukweli.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa maana hatuwezi kufanya lolote kinyume na kweli, bali kuithibitisha kweli tu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana hatuwezi kutenda neno lo lote kinyume cha kweli, bali kwa ajili ya kweli.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Hatuwezi kufanya lolote lililo kinyume na kweli bali lile linalodumisha kweli.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Maana hatuwezi kuupinga ukweli; uwezo tulio nao ni wa kuuendeleza ukweli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maana hatuwezi kuupinga ukweli; uwezo tulio nao ni wa kuuendeleza ukweli.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa maana hatuwezi kufanya lo lote kinyume na kweli, bali kuithibitisha kweli tu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa maana hatuwezi kufanya lolote kinyume na kweli, bali kuithibitisha kweli tu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana hatuwezi kutenda neno lolote kinyume cha kweli, bali kwa ajili ya kweli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maana hatuwezi kuupinga ukweli; uwezo tulio nao ni wa kuuendeleza ukweli.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani hakuna, tunachokiweza tukiyazuia yaliyo ya kweli, ila sisi hujipingia yaliyo ya kweli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana hatuwezi kutenda neno lo lote kinyume cha kweli, bali kwa ajili ya kweli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa maana hatuwezi kufanya jambo lolote linalopingana na ukweli. Jambo tunaloweza tu ni kuendelesha ukweli.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Maana hatuwezi kutenda neno kinyume cha kweli, bali kwa ajili ya kweli.