2 Corinthians 2:1 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, nimeamua nisiwatembelee tena kuwatia huzuni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hivyo nilikusudia moyoni mwangu nisifanye ziara nyingine yenye kuwaumiza ninyi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini nafsini mwangu nalikusudia hivi, nisije kwenu tena kwa huzuni.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Hivyo niliamua moyoni mwangu mwenyewe kuwa sitafanya safari nyingine ya huzuni kuja kwenu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Basi nimeamua nisiwatembelee tena kuwatia huzuni.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, nimeamua nisiwatembelee tena kuwatia huzuni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hivyo nilikusudia moyoni mwangu nisifanye ziara nyingine yenye kuwaumiza ninyi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hivyo nilikusudia moyoni mwangu nisifanye ziara nyingine yenye kuwaumiza ninyi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini nafsini mwangu nilikusudia hivi, nisije kwenu tena kwa huzuni.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, nimeamua nisiwatembelee tena kuwatia huzuni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini moyoni naliwaza hivi: Nisije tena kwenu mwenye sikitiko!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini nafsini mwangu nalikusudia hivi, nisije kwenu tena kwa huzuni.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, nilikusudia kutorudia tena kwenu nikiwa mwenye huzuni.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
LAKINI nafsini mwangu nalikusudia hivi, nisije kwenu tena kwa huzuni.