2 Corinthians 2:11 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
ili tusimpe nafasi Shetani atudanganye; maana twaijua mipango yake ilivyo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
ili Shetani asitushinde. Kwa maana hatujakosa kuzijua hila zake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Shetani asije akapata kutushinda; kwa maana hatukosi kuzijua fikira zake.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Nilifanya hivi ili Shetani asipate ushindi wowote kutoka kwetu. Tunafahamu sote mipango yake ilivyo.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
ili tusimpe nafasi Shetani atudanganye; maana twaijua mipango yake ilivyo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
ili tusimpe nafasi Shetani atudanganye; maana twaijua mipango yake ilivyo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
ili Shetani asitushinde. Kwa maana hatuachi kuzijua hila zake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
ili Shetani asitushinde. Kwa maana hatuachi kuzijua hila zake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Shetani asije akapata kutushinda; kwa maana hatukosi kuzijua fikira zake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
ili tusimpe nafasi Shetani atudanganye; maana twaijua mipango yake ilivyo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
maana tusidanganywe na Satani; kwani mizungu yake hatukosi kuijua.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Shetani asije akapata kutushinda; kwa maana hatukosi kuzijua fikira zake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
kusudi Shetani asipate njia ya kutushinda, maana tunajua nia zake.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Shetani asije akapata kutushinda; kwa maana sisi si wajinga, tunajua fikara zake.