2 Corinthians 2:8 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa hiyo nawasihi: Mwonesheni kwamba mnampenda.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa hiyo, nawasihi mpate kuuthibitisha tena upendo wenu kwake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa hiyo nawasihi kumthibitishia upendo wenu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Hivyo ninawasihi mwonesheni kuwa mnampenda.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Kwa hiyo nawasihi: mwonyesheni kwamba mnampenda.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa hiyo nawasihi: mwonesheni kwamba mnampenda.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hiyo, nawasihi, mpate kuuthibitisha tena upendo wenu kwa ajili yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa hiyo, nawasihi, mpate kuuthibitisha tena upendo wenu kwa ajili yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa hiyo nawasihi kumthibitishia upendo wenu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa hiyo nawasihi: Mwonesheni kwamba mnampenda.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa hiyo nawabembeleza ninyi, mmwonyeshe, ya kuwa mwampenda.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa hiyo nawasihi kumthibitishia upendo wenu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa hiyo ninawasihi ninyi kuhakikisha upendo wenu kwa mutu yule.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Kwa hiyo nawasihi kumthubutishia upendo wenu.