2 Corinthians 3:8 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
basi, huduma ya Roho ina utukufu mkuu zaidi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
je, huduma ya Roho wa Mungu haitakuwa na utukufu zaidi?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
je! Huduma ya roho haitazidi kuwa katika utukufu?
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Hivyo kwa hakika zaidi huduma ya agano jipya linalokuja kutoka kwa Roho anayeleta uzima lina utukufu zaidi.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
basi, huduma ya Roho ina utukufu mkuu zaidi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
basi, huduma ya Roho ina utukufu mkuu zaidi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
je, huduma ya Roho haitakuwa na utukufu zaidi?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
je, huduma ya Roho haitakuwa na utukufu zaidi?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
je! Huduma ya roho haitazidi kuwa katika utukufu?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
basi, huduma ya Roho ina utukufu mkuu zaidi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Je? Utumishi wa Roho hautakuwa na utukufu kuupita ule?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
je! Huduma ya roho haitazidi kuwa katika utukufu?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi si zaidi sana matokeo ya utumishi wa Roho yatakuwa yenye utukufu?
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
je! khuduma ya roho haitazidi kuwa katika utukufu?