2 Corinthians 4:10 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kila wakati tumekuwa tukichukua mwilini mwetu kifo cha Kristo, ili uhai wake Yesu pia udhihirike katika miili yetu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Siku zote twachukua katika mwili kufa kwake Isa ili uzima wa Isa uweze kudhihirishwa katika miili yetu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
siku zote twachukua katika mwili kuuawa kwake Yesu, ili uzima wa Yesu nao udhihirishwe katika miili yetu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Hivyo tunashiriki kifo cha Yesu katika miili yetu kila wakati, lakini haya yanatokea ili uzima wa Yesu udhihirishwe katika miili yetu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Kila wakati tumekuwa tukichukua mwilini mwetu kifo cha Kristo, ili uhai wake Yesu pia udhihirike katika miili yetu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kila wakati tumekuwa tukichukua mwilini mwetu kifo cha Kristo, ili uhai wake Yesu pia udhihirike katika miili yetu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Siku zote twachukua katika mwili kufa kwake Yesu ili kwamba uzima wa Yesu uweze kudhihirika katika miili yetu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Siku zote twachukua katika mwili kufa kwake Isa ili kwamba uzima wa Isa uweze kudhihirika katika miili yetu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
siku zote twabeba katika mwili kuuawa kwake Yesu, ili uzima wa Yesu nao udhihirishwe katika miili yetu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kila wakati tumekuwa tukichukua mwilini mwetu kifo cha Kristo, ili uhai wake Yesu pia udhihirike katika miili yetu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Po pote, tunapozunguka, twakujulisha kuuawa kwake Yesu miilini mwetu, kwamba nako kuishi kwake Yesu kupate kutokea miilini mwetu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
siku zote twachukua katika mwili kuuawa kwake Yesu, ili uzima wa Yesu nao udhihirishwe katika miili yetu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kila wakati tunabeba mateso ya kufa kwa Yesu katika mwili wetu, kusudi uzima wa Yesu uonekane vilevile ndani ya mwili wetu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
siku zote twachukua katika mwili kuuawa kwake Yesu, illi uzima wa Yesu nao udhihirishwe katika miili yetu.