2 Corinthians 4:3 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maana, kama Habari Njema tunayohubiri imefichika, imefichika tu kwa wale wanaopotea.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hata nayo Injili yetu kama imetiwa utaji, ni kwa wale tu wanaopotea.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini ikiwa injili yetu imesitirika, imesitirika kwa hao wanaopotea;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Habari Njema tunazowahubiri watu hazijafichika kwa yeyote isipokuwa kwa waliopotea.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Maana, kama Habari Njema tunayohubiri imefichika, imefichika tu kwa wale wanaopotea.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maana, kama Habari Njema tunayohubiri imefichika, imefichika tu kwa wale wanaopotea.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hata nayo Injili yetu kama imetiwa utaji, ni kwa wale tu wanaopotea.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hata nayo Injili yetu kama imetiwa utaji, ni kwa wale tu wanaopotea.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini ikiwa Injili yetu imesitirika, imesitirika kwa hao wanaopotea;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maana, kama Habari Njema tunayohubiri imefichika, imefichika tu kwa wale wanaopotea.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
*Lakini Utume wetu mwema ukiwa umefunikwa, uko umefunikwa kwao walio wenye kuangamia;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini ikiwa injili yetu imesitirika, imesitirika kwa hao wanaopotea;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini kama Habari Njema tunayotangaza ni ngumu kwa kusikia, ni kwa wale tu wanaofuata njia ya upotevu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Ijapokuwa injili yetu imesetirika, imesetirika kwao wanaopotea;