2 Corinthians 4:8 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Daima twapata taabu, lakini hatugandamizwi; twapata mashaka, lakini hatukati tamaa;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Twataabika kila upande lakini hatuangamizwi; twaona wasiwasi lakini hatukati tamaa;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Pande zote twadhikika, bali hatusongwi; twaona shaka, bali hatukati tamaa;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Tunasumbuliwa kila upande, lakini hatushindwi. Mara kwa mara hatujui tufanye nini, lakini hatukati tamaa.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Daima twapata taabu, lakini hatugandamizwi; twapata mashaka, lakini hatukati tamaa;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Daima twapata taabu, lakini hatugandamizwi; twapata mashaka, lakini hatukati tamaa;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Twataabika kila upande, lakini hatuangamizwi, twaona wasiwasi lakini hatukati tamaa,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Twataabika kila upande lakini hatuangamizwi; twaona wasiwasi lakini hatukati tamaa;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Pande zote twateseka, bali hatusongwi; twaona shaka, bali hatukati tamaa;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Daima twapata taabu, lakini hatugandamizwi; twapata mashaka, lakini hatukati tamaa;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Po pote twaumizwa, lakini hatusongeki; twahangaishwa, lakini hatuhangaikiki,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Pande zote twadhikika, bali hatusongwi; twaona shaka, bali hatukati tamaa;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sisi tunagandamizwa kila namna, lakini hatushindwi; tunahangaishwa, lakini hatukati tumaini;
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Pande zote twasongwa, bali hatudhiikiki; twaona mashaka, hali hatukati tamaa; twaudhiwa, hali hatuachwi;