2 Corinthians 4:9 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
twateseka, lakini hatuachwi bila msaada; na ingawa tumeangushwa chini, hatukuangamizwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
twateswa lakini hatuachwi; twatupwa chini lakini hatupondwi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
twaudhiwa, bali hatuachwi; twatupwa chini, bali hatuangamizwi;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Tunateswa, lakini Mungu hatuachi. Tunaangushwa chini wa nyakati zingine, laki hatuangamizwi.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
twateseka, lakini hatuachwi bila msaada; na ingawa tumeangushwa chini, hatukuangamizwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
twateseka, lakini hatuachwi bila msaada; na ingawa tumeangushwa chini, hatukuangamizwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
twateswa lakini hatuachwi, twatupwa chini lakini hatupondwi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
twateswa lakini hatuachwi; twatupwa chini lakini hatupondwi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
twaudhiwa, bali hatuachwi; twatupwa chini, bali hatuangamizwi;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
twateseka, lakini hatuachwi bila msaada; na ingawa tumeangushwa chini, hatukuangamizwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
twakimbizwa, lakini hatuachwi peke yetu; twaangushwa chini, lakini hatuangamiki.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
twaudhiwa, bali hatuachwi; twatupwa chini, bali hatuangamizwi;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
tunateswa, lakini Mungu hatuachilii; tunatupwa chini, lakini hatuangamizwi.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
twatupwa chini, bali hatuangamizwi;