2 Corinthians 5:8 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini tuko imara na tungependelea hata kuyahama makao haya, tukahamie kwa Bwana.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Naam, tuna ujasiri, na tunaona ingekuwa bora zaidi kuuacha mwili huu na kwenda kukaa na Bwana Isa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini tuna moyo mkuu; nasi tunaona ni afadhali kutokuwamo katika mwili na kukaa pamoja na Bwana.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Hivyo ninasema tuna ujasiri. Na tungependa kuondoka na kutokuwa katika mwili huu na kuwa nyumbani pamoja na Bwana.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Lakini tuko imara na tungependelea hata kuyahama makao haya, tukahamie kwa Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini tuko imara na tungependelea hata kuyahama makao haya, tukahamie kwa Bwana.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Naam, tunalo tumaini na ingekuwa bora zaidi kuuacha mwili huu na kwenda kukaa na Bwana.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Naam, tunalo tumaini na ingekuwa bora zaidi kuuacha mwili huu na kwenda kukaa na Bwana Isa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini tuna moyo mkuu; nasi tunaona ni afadhali kutokuwemo katika mwili na kukaa pamoja na Bwana.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini tuko imara na tungependelea hata kuyahama makao haya, tukahamie kwa Bwana.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini kwa hayo, tunayoyatazamia, hupenda sana kuhama miilini, tupate kukaa kwetu kwa Bwana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini tuna moyo mkuu; nasi tunaona ni afadhali kutokuwamo katika mwili na kukaa pamoja na Bwana.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sisi tuna uhodari na tungependa zaidi kutoka katika mwili huu na kwenda kuishi pamoja na Bwana.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Lakini tuna moyo mkuu; na tunaona vema zaidi kutoka katika mwili na kukaa pamoja na Bwana.