2 Corinthians 6:12 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kama mnaona kuna kizuizi chochote kile, kizuizi hicho kiko kwenu nyinyi wenyewe, na si kwa upande wetu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sisi hatujizuii kuwapenda, bali ninyi mmeuzuia upendo wenu kwetu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hamsongwi ndani yetu, bali mwasongwa katika mioyo yenu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Upendo wetu kwenu haujakoma. Ninyi ndiyo mliouzuia upendo wenu kwetu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Kama mnaona kuna kizuizi chochote kile, kizuizi hicho kiko kwenu ninyi wenyewe, na si kwa upande wetu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kama mnaona kuna kizuizi chochote kile, kizuizi hicho kiko kwenu nyinyi wenyewe, na si kwa upande wetu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sisi hatujizuii kuwapenda, bali ninyi mmeuzuia upendo wenu kwetu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sisi hatujizuii kuwapenda, bali ninyi mmeuzuia upendo wenu kwetu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hamsongwi ndani yetu, bali mwasongwa katika mioyo yenu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kama mnaona kuna kizuizi chochote kile, kizuizi hicho kiko kwenu nyinyi wenyewe, na si kwa upande wetu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Humu ndani yetu penu sipo padogo, lakini mioyoni mwenu mnasongeka.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hamsongwi ndani yetu, bali mwasongwa katika mioyo yenu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sisi hatukuwafungia mioyo yetu, lakini ni ninyi ndio muliotufungia moyo wenu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Hamsongwi ndani yetu, bali mwasongwa katika mioyo yenu.