2 Corinthians 6:13 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sasa nasema nanyi kama watoto wangu: Wekeni mioyo yenu wazi kama nasi tulivyofanya.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sasa nasema kama na watoto wangu: Ninyi pia ifungueni mioyo yenu kabisa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi, ili mlipe kadiri ile mliyopewa (nasema nanyi kama na watoto), nanyi pia mkunjuliwe mioyo.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Ninawaambia kama watoto wangu. Fanyeni vivyo hivyo kama sisi tulivyotenda kwenu; fungueni mioyo yenu pia.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Sasa nasema nanyi kama watoto wangu, wekeni mioyo yenu wazi kama nasi tulivyofanya.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sasa nasema nanyi kama watoto wangu: wekeni mioyo yenu wazi kama nasi tulivyofanya.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sasa nasema, kama na watoto wangu: Ninyi pia ifungueni mioyo yenu kabisa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sasa nasema, kama na watoto wangu: Ninyi pia ifungueni mioyo yenu kabisa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi, ili mlipe kadiri ile mliyopewa (nasema nanyi kama na watoto), nanyi pia mkunjuliwe mioyo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sasa nasema nanyi kama watoto wangu: Wekeni mioyo yenu wazi kama nasi tulivyofanya.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nasema nanyi kama na watoto wangu, nikiwaambia: Tulipeni vivyo hivyo, mkitupatia nasi pakubwa mioyoni mwenu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi, ili mlipe kadiri ile mliyopewa (nasema nanyi kama na watoto), nanyi pia mkunjuliwe mioyo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sasa ninasema nanyi kama vile watoto wangu: kwa ngambo yenu mutufungulie nasi moyo wenu vilevile.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Bassi, illi mlipe kadiri ile ile mliyopewa (nasema nanyi kama na watoto), mkunjuliwe mioyo na ninyi.